
Yanga SC imesajili Mshambuliaji Lazalous Kambole (28) Raia wa Zambia aliyekuwa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini 2019/20 akiwa amecheza mechi 46 na kufunga magoli mawili, Kambole amekuwa na wakati mgumu Kaizer Chiefs licha ya kung’aa sana 2019 akiwa na Zescon Utd.
