TAKWIMU HUTUMIKA KWENYE SHUGHULI ZOTE ZA KIJAMII-MHADHIRI MUM

Mhadhiri Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro (MUM) Dkt. Abubakar Rajab amesema Takwimu hutumika katika shughuli zote za kijamii Afya, Elimu, Biashara, Kilimo, Ufugaji, Mazingira, Sayansi na Teknolojia.

ameyasema hayo leo juni 15, 2022 Mkoani Iringa kwenye muendelezo wa mafunzo kwa Waandishi na Wahariri wa mitandao ya kijamii Kuhusu Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *