
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Dini wa Kitaifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Viongozi wa Dini na Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonite, Askofu Nelson Kisare (kulia kwake) walipomtembelea Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, Mhe. David Concar alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
