NI KOSA KUKATAA KUHESABIWA-MWANASHERIA WA OFISI YA TAKWIMU

Mwanasheria Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Mary Innocent Senapee

Je Wajua? Ni kosa kisheria kukataa au kuacha kwa MAKUSUDI kujaza fomu au nyaraka zozote za ukusanyaji takwimu. Hayo yamebainishwa leo juni 14,2022 Mkoani Iringa na mwanasheria Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)Mary Innocent Senapee Wakati wa mafunzo kwa waandishi na waHariri wa vyombo vya Mitandaoni kuhusu maandalizi ya Sensa ya Watu na makazi Itakayo fanyika Agoust 23,2022 #Sensa2022 #JiandaeKuhesabiwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *