MAFUNZO YA KUWAJENGEA UELEWA WAANDISHI NA WAHARIRI KUHUSU SENSA YAANZA IRINGA

Mtaalamu wa Habari na Mawasiliano Kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS Said Amir

Kuelekea Sensa ya watu na makazi itakayo fanyika Agoust 23,2022 Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imeandaa mafunzo kwa Waandishi na Wahariri wa vyombo Vya Habari vya Mitandaoni ili kuwajengea Uelewa Wanahabari hao kuhusu sense ya watu na makazi.


Mafunzo hayo ambayo ni ya siku mbili yameanza leo Tarehe 14,6,2022 hadi Tarehe 15,6,2022 mkoani Iringa, yakiongozwa na Mtaalamu wa Habari na Mawasiliano Kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS Said Amir.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *