IDADI YA WATAKAO HESABIWA SENSA MWAKA 2022 KUONGOZEKA

Mtaalam wa Idadi ya watu ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Hellen Siriwa akitoa Mafunzo Kwa Waandishi wa habari wa mitandao ya kijamii Tanzania (JUMIKITA) Juni 14,2022 mkoani Iringa kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, Ametoa takwimu ya sensa ya miaka kadhaa iliyopita “Sensa ya kwanza ya mwaka 1967 ilipata ya watu milioni 12.3, sensa ya pili ya mwaka 1978 ilipata watu milioni 17.5, sensa ya tatu ya mwaka 1988 ilipata nidadi ya watu milioni 23.1, sensa ya nne ya mwaka 2002 ilipata watu milioni 34.4, Matarajio ya Sensa ya watu na makazi kwa mwaka 2022 watu watakao hesabiwa ni milion 61.3.” Amesema Hellen Siriwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *