WAZIRI DKT. ASHATU AMUWAKILISHA RAIS SAMIA AFRIKA CEO FORUM

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Wa sita kutoka kushoto) akiwa katika pamoja na Viongozi mbalimbali akiwemo Rais wa Ivory Coast, Mhe. Alassane Ouatarra (Wa Pili kutoka kushoto); Rais wa Ghana, Mhe. Nana Akufo-Addo (Wa Nne kutoka kushoto); Makamu wa Rais wa Nigeria, Mhe. Yemi Osinbajo San (wa Tano kutoka kushoto) na Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Mhe. Patrick Achi (Wa Saba kutoa kushoto) kwenye hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Wakuu wa Mashirika na Taasisi Barani Afrika (Africa CEO Forum) linalofanyika Jijini Abidjan, Ivory Coast.

Mh.Kijaji amemuwakilisha Mhe.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye mkutano huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *