MKATABA WA MAKUBALIANO WATOA HUDUMA MAFUTA NA GESI WASAINIWA OMAN

Mkataba wa Makubaliano katika ya Jumuiya ya Watoa huduma katika Sekta ya mafuta na Gesi (AGAS) na Jumuiya ya watoa huduma katika sekta ya mafuta na gesi Zanzibar ZAOGAS pamoja na Jumuiya ya watoa huduma za Mafuta kutoka Oman (OPAL) katika hafla iliyofanyika Muscat Oman Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chemba ya Biashara ya Zanzibar Ali Amour katikati ni Mwenyekiti wa ATOG Balozi Abdulsamad Abdulrahim na kwa upande wa Oman ni Mkurugenzi Mtendaji wa OPAL Abdulrahman Al Yahya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *