SPIKA DKT. TULIA AWASILI MSIBANI ARUMERU

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), leo Juni 12, 2022 amewasili Jijini Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Said Mtanda pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Richard Ruyango.

Mhe. Spika anaelekea Arumeru kwenye msiba wa Mzee Noel Pallangyo aliyefariki dunia Juni 9, 2022 Mkoani Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *