TAZAMA HAPA MAJINA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO

ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO KWA
KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI Prof.Riziki Shemdoe ameridhia kufanyika kwa
uhamisho wa watumishi 1,048 wa kubadilisha vituo vya kazi pekee.

Aidha amewakumbusha watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuwa uhamisho
wa kwenye Halmashauri za Majiji, Manispaa na Miji umesitishwa mpaka hapo
itakapotangazwa vinginevyo.

Pia amesisitiza kuwa, watumishi waliopata uhamisho huu wasubirie barua kwenye
Halmashauri zao na sio kuja Ofisi ya Rais-TAMISEMI kufuata barua hizo.

WATUMISHI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA
WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO KWA KUBADILISHANA
VITUO VYA KAZI KUANZIA FEBRUARI – MEI, 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *