MATUKIO KATIKA PICHA
Washiriki mbalimbali wakikimbia Mbio za Capital City Evening Run ndani ya Mji wa Magufuli Mtumba, Dodoma.Leo Juni 11, 2022.
Mbio hizi ni sehemu ya Maandalizi kwaajili ya Mbio kubwa za Capital City Dodoma Marathon
Mbio hizi zimeshirikisha wakimbiaji wa Km 15, na Km5










Huyu ni Miongoni mwa Watoto waliojitokeza kushiriki Mbio hizi za Capital City Evening Run







