Waziri wa Nishati January Makamba amefanya uteuzi wa wajumbe 8 wapya wa bodi ya shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC siku chache baada ya Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kumteua Balozi Ombeni Sefue kuwa Mwenyekiti wa bodi hiyo.