RAIS SAMIA AWASILI MKOANI KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa wilaya ya Biharamulo Mkoani Kagera wakati alipowasili Mkoani Kagera katika ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani humo. Leo June 08, 2022.

Mheshimiwa Rais akiwa Mkoa Kagera atakagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuongea na wananchi katika maeneo tofauti Mkoani humo. (Picha na Eliud Rwechungura – OR – TAMISEMI)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *