MAELFU YA WAKAZI WA DODOMA WAFANYA MATEMBEZI YA AMANI KUMPONGEZA RAIS SAMIA

Maelefu ya wakazi wa mkoa wa Dodoma wamejitokeza katika matembezi ya amani yaliyoandaliwa na umoja wa wakandarasi wazawa, yenye lengo la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassa.

Hayo yamefanyika kufuatia Rais Samia kutunukiwa tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye Ujenzi wa Barabara kwa mwaka 2022.

Maandamano hayo yamefanyika Mapema leo Juni 04, 2022 jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *