
Kitabu Cha Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kimemuandika Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoani Songwe Mhe. Condester Sichalwe kama Miongoni mwa WanaDiplomasia ya Uchumi.
Kitabu Hicho kinahusu Utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi Kuelekea Uchumi wa Viwanda 2025.
PICHA MBALIMBALI KATIKA KITABU HICHO



