UMUHIMU WA MATUNDA NA MIMEA TIBA KATIKA KUONDOA SUMU MWILINI


Maji Dawa (Detox water) yanapaswa kuwa sehemu muhimu ya lishe yako ya kila siku. Kwa asili ni mazuri na kuwa na manufaa kwenye mwili wa binadamu kwani huondoa sumu mwilini kupitia matunda, mimea tiba na viungo.

TAHA kupitia kitengo chetu cha Jinsia na Lishe tunakujali na kutambua umuhimu wa afya yako na kuendelea kukupatia elimu za kiafya zitokanazo na mazao ya horticulture.

Karibu ujifunze na kufahamu zaidi ni nini unaweza kutumia na faida zake katika afya yako.


#TAHA #lishebora #tibalishe
#HorticultureForHealthandWealth

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *