POLISI DAR WAENDELEA NA UCHUNGUZI KIFO CHA MTOTO KIMARA

Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea na uchunguzi wa kifo cha mtoto wa miaka nane mkazi wa Kimara Temboni aliyekutwa amepoteza maisha chumbani kwake akiwa amelala pamoja na kumshikilia dada wa kazi kwa mahojiano.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *