HUKUMU YA SABAYA YAAHIRISHWA

Hukumu ya aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, imeahirishwa hadi Juni 10, 2022, kwa kile kilichoelezwa kwamba Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo amepangiwa majukumu mengine ya kiofisi nje ya mkoa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *