SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA BUNGENI JIJINI DODOMA

HABARI KATIKA PICHA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China Nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjinan alipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa China Nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjinan alipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjinan alipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Ubalozi wa China Nchini Tanzania wakiongozwa na Balozi wa China Nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjinan (wapili kushoto) walipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *