SPIKA DKT. TULIA AONGOZA SEMINA KWA WABUNGE KUHUSU MAANDALIZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza Waheshimiwa Wabunge wakati wa semina kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mafunzo hayo yalifunguliwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na Kuhudhuriwa na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi na Spika Mstaafu, Mhe. Anne Makinda

Waheshimiwa Wabunge wakishiriki katika semina kuhusu Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *