SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA WJT NA WASHINDI MISS TANZANIA

HABARI KATIKA PICHA


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja nje ya ukumbi wa Bunge na Chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania (Women Journalists of Tanzania WJT) leo Mei 27, 2022 walipotembelea Bunge kwa ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja nje ya ukumbi wa Bunge na Washindi wa Miss Tanzania 2022 leo Mei 27, 2022 walipotembelea Bunge kwa ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *