BUNGE LAAHIDI USHIRIKIANO MKUBWA KWA NHC

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Ndg. Nehemiah Mchechu leo Mei 27, 2022 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma ambapo wamezungumza mambo mbalimbali ya ushurikiano baina na taasisi ya Bunge na Shirika hilo.

Pamoja naye, Mchechu aliambatana na Meneja wa Habari na Uhusiano wa NHC Ndg. Muungano Saguya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *