MAKAMU WA RAIS AKIWASILI MAY 26 HABARI KATIKA PICHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo tarehe 26 Mei 2022 akitokea Davos nchini Uswisi alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo tarehe 26 Mei 2022 akitokea Davos nchini Uswisi alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *