

Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa imempiga marufuku James Mbatia pamoja na Sekretarieti yake yote kujihusisha na shughuli za chama cha NCCR-MAGEUZI kuanzia sasa, Naibu Msajili Sisty Nyahoza amesema Mbatia akikaidi amri hiyo atakabiliwa na adhabu kali ikiwemo kushtakiwa.



