Matukio Mbalimbali Katika Picha Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara(NBC PREMIERE LEAGUE 2021/2022) Dhidi ya Namungo Fc
Matokeo katika Mchezo huu yametamatika kwa Dodoma Jiji kuibuka na Ushindi wa Bao 1-0 likifungwa na Hamis Mcha kupitia Mkwaju wa Penati








