Mkutano Mkuu wa 75 wa Shirika la Afya Duniani, umeanza leo trh 22-28 Mei, 2022 Geneva, Uswisi.

Naibu Waziri anayeshughulikia Afya @ortamisemi Mhe. Festo Dugange pamoja na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya @ortamisemi Dkt. Grace Magembe ni miongoni wa Ujumbe kutoka Tanzania unaoshiriki Mkutano huo.

Mkutano huu unaenda na Kauli Mbiu “Afya kwa Amani, Amani kwa Afya”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *