SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI UZINDUZI WA THE ROYAL TOUR

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ameshiriki katika uzinduzi wa filamu ya Tanzania ‘The Royal Tour’ kwa Mkoa wa Dodoma leo Mei 15, 2022 tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete uliopo Jijini Dodoma.

Katika tukio hilo, Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimuwakilisha Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *