KWA mujibu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kubadilisha tahasusi ni jukumu la mkuu wa shule baada ya kupata kibali kwa Afisa Elimu Mkoa.