Je, kwa mwanafunzi aliyepangiwa chuo na anataka kusoma Advance shule za Serikali utaratibu ukoje?

KWA mujibu wa Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) mwanafunzi aliyepangwa chuo na anahitaji kwenda Kidato cha Tano anapaswa kufahamu kuwa, kwa sasa shule zimejaa kwa sababu wanafunzi 90,825 wamepangiwa kwenda Kidato cha Tano kwa kuzingatia rasilimali zilizopo kama shule, mabweni na chakula.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *