Jambo lenyewe ni LEO saa 10 jioni, USIKOSE

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalum utakaofanyika leo Mei 14, 2022 (Jumamosi) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 na nusu jioni.

Mkutano huu utajadili; Mafanikio ya Uzinduzi wa Filamu ya ‘Tanzania: The Royal Tour’.
Muda ukifika (Saa 10 kamili jioni, Mei 14, 2022 – Jumamosi) jiunge na mkutano kwa kubofya https://bit.ly/38lltk3
Au kupitia
Meeting ID: 88925559744Passcode: 690520
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Karibu tujadili mafanikio ya uzinduzi wa filamu yetu na mchango wake katika Sekta ya Utalii na Uwekezaji nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *