DTB YATANGULIA LIGI KUU TANZANIA BARA MSIMU UJAO

Klabu insyoshiriki Ligi ya Championship 2021/2022 DTB FC Imefanikiwa kufuzu kushiriki Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 2022/2023

DTB Wanafuzu baada ya kuongoza Ligi ya Championship kwa Alama 65 michezo 28 mbele ya Ihefu wenye Alama 62 michezo 28.

DTB imejizolea umaarufu kwa kuwa na Wachezaji kama Amis Tambwe aliyewahi kuhudumu kwa mafanikio kwenye Vilabu vya Simba na Yanga, huku ikiwa ni mara ya kwanza kushiriki michuano hiyo ya CHAMPIONSHIP

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *