VIDEO-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwaongaza Waheshimiwa Wabunge pamoja na Wananchi wa Mbeya katika shamlashamla kwa ajili ya maandalizi ya Mbeya Tulia Marathon yanayofanyika katika Uwanja wa Sokoine Jijini humo leo Mei 7, 2022.