BUNGE LASITISHWA KUJADILI HOJA YA DHARURA

Mbunge wa Kilindi Mhe. Omary Kigua ametoa hoja ya Dharura ili kuliomba Bunge kusitisha Shughuli zake ili kujadili hoja ya kupanda kwa Bei ya Mafuta nchini
Mhe.Kigua ametoa hoja hiyo Mapema leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu na kuungwa mkono na Wabunge
Hivyo, Spika wa Bunge Dkt. Tulia amekubali hoja hiyo na kulipa nafasi Bunge kujadili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *