MICHEWENI WATAKIWA KUKAMILISHA MRADI WA MAZINGIRA KWA WAKATI

HABARI PICHA

Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan
Mitawi na Katibu Mkuu Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Bw. Thabit Idarous
Faina pamoja na watendaji wao wakiwa katika ziara ya kukagua ukarabati wa
tuta la kuzuia majichumvi kwenye Bonde la mpunga la Ukere Wilaya ya
Micheweni Mkoa wa Kusini, Pemba unaotekelezwa kupitia Mradi wa Urejeshaji
Ardhi iliyoharibika na kuongeza Usalama wa Chakula (LDFS).

Sehemu ya tuta la kuzuia majichumvi kutoka baharini kuingia katika Bonde la
mpunga la Ukere Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kusini, Pemba ambalo ni
miongoni mwa matuta yanayokarabatiwa kupitia Mradi wa Urejeshaji Ardhi
iliyoharibika na kuongeza Usalama wa Chakula (LDFS).

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *