WAJUMBE WA TANZANIA WASHIRIKI KWENYE JUKWAA LA MABUNGE YA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA

Wajumbe wa Tanzania kwenye Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika wakiwa katika kikao cha Jukwaa hilo kinachoendelea Jijini Johannesburg, Afrika Kusini.

PICHA NA MATUKIO

Mjumbe wa Tanzania kwenye Jukwaa la SADC-PF Mhe. Selemani Zedi akichangia jambo kwenye kikao cha mapitio ya Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Model Law on Public Financial Management) kwa nchi za SADC hii leo Jijini Johannesburg, Afrika Kusini. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Mjumbe wa Tanzania kwenye Jukwaa la SADC-PF Mhe. Hawa Mwaifunga akifuatilia kwa makini mapitio ya Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Model Law on Public Financial Management) kwa nchi za SADC hii leo Jijini Johannesburg, Afrika Kusini. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Wajumbe wa Tanzania kwenye Jukwaa la SADC-PF Mhe. Kassim Haji na Mhe. Shally Raymond wakifuatilia kwa makini mapitio ya Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Model Law on Public Financial Management) kwa nchi za SADC hii leo Jijini Johannesburg, Afrika Kusini. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *