SPIKA DKT. TULIA AONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE WAKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisaini kitabu cha maombolezo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Waheshimiwa Wabunge wakisaini kitabu cha maombolezo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama  leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *