WAOMBAJI 83,514 WATUMA MAOMBI AJIRA ELIMU NA AFYA KUPITIA MFUMO

Waombaji 83,514 waomba ajira kupitia mfumo

Kwa sasa mfumo wa ajira unafanya kazi vizuri kwa kasi ya kutosha na mpaka tarehe 25.04.2022 saa nne usiku waombaji wa Kada ya Ualimu walikua 69,813 na Kada ya Afya ni 13,683.

Jumla ya Waombaji wote ni 83,514. Waombaji wote hawa wameomba kupitia mfumo ajira.tamisemi.go.tz kwa muda wa siku tano tu. Hivyo ni takribani waombaji 16,703 huwasilisha Maombi kwa Siku

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *