Kocha mkuu wa klabu ya Rs Berkane ya Nchini Morocco @rsbfootball “Florent Ibenge” ameripotiwa kupata ajali mbaya ya gari jana alipokuwa akirejea nyumbani kutoka mazoezini.
Taarifa zinaeleza kuwa Amejeruhiwa vibaya (amevunjika mara mbili)
Ibenge ambaye ni Raia wa DRC Congo Ripoti Zinaeleza hatakuwepo kazini kwa Kipindi kirefu kutokana na Kujeruhiwa

