SPIKA DKT. TULIA AWAONGOZA WANANCHI DODOMA KUFANYA MAZOEZI

pika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), leo Aprili 23, 2022 amewaongoza baadhi ya Wananchi wa Dodoma kufanya mazoezi ya kujiandaa kwa mashindano ya Mbeya Tulia Marathon 2022 yatakayofanyika Jijini Mbeya tarehe 6 na 7 ya mwezi Mei.

Mbeya Tulia Marathon, tunaboresha miundombinu ya elimu na afya
#mbeyatuliamarathon2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *