SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI CCBRT

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Ndg. Brenda Msangi Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo Aprili 21, 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *