Timu ya Taifa ya Tanzania imepangwa Kundi F katika Kuwania Kufuzu Michuano ya Afcon 2023 itakayofanyika Nchini Ivory Coast
Kundi Hilo lina Timu za Algeria, Nigeria, Uganda, na Tanzania
Safari hii Tanzania haitoanzia Katika Hatua za Awali na kuanzia katika Makundi Moja kwa Moja

Ikumbukwe Kuwa Tanzania imeshiriki Michuano hiyo Mara mbili ambapo ni Mwaka 1980 na 2019
Je Tanzania Itafanikiwa Kufuzu?