MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa katoliki Parokia ya  Maria Theresa Ledochowska iliopo kiwanja cha ndege mkoani Dodoma leo tarehe 15 Aprili 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *