TANZIA: MWANAMZIKI MAUNDA ZORRO AFARIKI DUNIA

Tasnia ya muziki nchini Tanzania imepata pigo baada ya kifo cha Mwanamuziki Maunda Zorro mtoto wa muimbaji nguli na mkongwe wa Muziki Zahir Ally Zorro.

Maunda ambaye ni mdogo wa Mwanamuziki Banana Zorro amefariki dunia usiki wa kuammia Alhamisi ya April 14 baada ya kupata ajali ya gari ikisemekana gari alilopanda liligongana uso kwa uso na Lori la mchanga maeneo ya Kigamboni.

CC-millardAyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *