TAMISEMI YAPOKEA BILIONI 670.36 MWAKA 2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Mhe. Innocent Bashungwa amesema
2022 Ofisi ya Rais – TAMISEMI imepokea jumla ya Shilingi bilioni 670.36.Kati ya fedha hizo, Shilingi bilioni 38.17 ni kwa ajili ya mishahara, sawa na asilimia 66.38 ya fedha zilizoidhinishwa.

Ameyasema hayo wakati akiwasilisha Makadrio ya Mapato na matumizi ya Bajeti ya Ofisi ya Rais Tamisemi kwa Mwaka 2022/2023

Aidha,Shilingi bilioni 8.83 ni matumizi mengineyo,
sawa na asilimia 77.66, na Shilingi bilioni
623.35 ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo,
sawa na asilimia 64.01.

Alisema Vilevile, “Fedha za Maendeleo zinajumuisha Shilingi bilioni
526.13 fedha za ndani na Shilingi bilioni
97.22 fedha za nje.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *