Serikali imetenge Bilioni 10.00 kwaajili ya ukarabati wa soko la kariakoo
Hayo yamesemwa na Waziri TAMISEMI Mhe.Inonocent Bashungwa wakati akiwasilisha bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka
wa Fedha 2022/23 ya ofusi ya TAMISEMI
Mhe.Bashungwa amesema fedha hizo zitashughulikia mradi huo wa Soko la kariako la jijini Dar Es Salaam