SERIKALI YAONGEZA BILIONI 4 MFUKO WA MAENDELEO YA JIMBO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Mfuko wa maendeleo ya Jimbo umeongezewa Bilioni 4.4 kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 kwaajili ya Utekelezaji wa maendeleo kutoka Bilioni 11
Waziri Bashungwa ameyaema hayo Bungeni Dodoma katika Mkutano wa 7 Kikao cha Saba wakati akiwasilisha Hati ya Makadirio ya mapato na Matumizi Ofisi ya Rais Tamisemi
“Tumekuja na Dawa katika mifuko ya Jimbo kuhakikisha tunatekeleza miradi yote ya maendeleo bila kikwazo chochote, Rais Samia hoyee”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *