Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa na Mbunge wa Mikumi, Mhe. Dennis Londo akiwasilisha Bungeni taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha 2021/22 na maoni ya kamati kuhusu Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2022/23 Leo Aprili 14, 2022.


