Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara imeonekana akiwa amefunga ndoa na mwanamke mwingine ambaye hajafahamika ni nani
Kupitia katika Ukurasa wa Instagram wa Haji Manara ameweka chapisho likiwa limeonesha anafungishwa Ndoa
Kwenye Chapisho hilo Manara aliandika “Alhamdulillah”