WAZIRI NDALICHAKO ASISITIZA SEKTA BINAFSI KUWAPA NAFASI VIJANA KUJIFUNZA ILI KUPATA UJUZI

Waziri wa Ajira, Kazi, Vijana na wenye Ulemavu amesema serikali itaendelea kutoa Mafunzo kwa vijana ili kupata ujuzi na kuutumia kujiajiri na kusema kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu wanatoa msisitizo kwa Viwanda na Sekta Binafsi kuwapa fursa vijana ili kupata Mafunzo

Prof Ndalichako ametoa Kauli hiyo leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu hoja mbalimbali za Wabunge zilizoibuliwa Kwenye Hoja ya Bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *