“VYAMA VYA USHIRIKA RUDISHENI FEDHA ZA WAKULIMA”WAZIRI BASHE

Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe ameviagiza Vyama vya Ushirika nchini kurudisha fedha kwa wakulima
Bashe ametoa agizo hilo wakati akijibu hoja za Wabunge kwenye Mkutano wa Saba kikao cha sita Bunge la 12 linaloendelea Jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *